Kanisa la Gwajima labomolewa usikuusiku Ubungo DSM

Bado zoezi la Bomoa Bomoa linaendelea kuchukua headlines jijini Dar es Salaam, ikiwa ni siku chache tu zimepita toka tushuhudie zoezi la ubomoaji wa jengo la makao makuu ya Tanesco likiendelea, AyoTV imezinasa picha za kanisa la Askofu Gwajima likinbomolewa kupisha ujenzi wa barabara. EXCLUSIVE: Ni kweli Godbless Lema na Meya Boniface wamepigana?...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Thursday, 7 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News