Kampuni yajifungia kuchapisha GAZETI kwa miezi mitatu na kuomba msamaha kwa JPM na Kagame

Serikali kupitia Idara ya Habari Maelezo imetangaza kuwa imepokea rasmi na kuridhia taarifa kutoka uongozi wa Kampuni ya IPP ya kujiwajibisha kwa kuomba radhi kwa Rais JPM na Kagame pamoja na kusitisha uchapishwaji wa gazeti la Nipashe Jumapili kwa miezi mitatu. Hii ni baada ya Jumapili ya jana January 14, 2018 gazeti hilo kuandika habari […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Monday, 15 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News