KAMPUNI BINAFSI ZA ULINZI KUVAA SARE MOJA

Na Bethsheba Wambura, Dar es Salaam Kampuni binafsi za ulinzi zinazoendesha shughuli zake nchini zimetakiwa kuvaa sare za aina moja ifikapo Januari Mosi mwakani ili kuondoa sare zinazofanana na za askari wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama. Agizo hilo limetolewa leo Jumanne Machi 13, jijini Dar es Salaam na Kamishna wa Kamisheni ya Ushirikishwaji wa Jamii, Mussa Mussa alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika kikao kilichowakutanisha wamiliki wa kampuni binafsi za ulinzi. Kamishna Mussa amesema sare zilizokubaliwa kwa pamoja kati ya Jeshi la Polisi na wawakilishi wa kampuni...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Tuesday, 13 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News