Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar Sururu Aipongeza Uhamiaji Mkoa wa Kaskazini Unguja Kusogeza Huduma Ndani ya Jamii.

Kamishna wa wa Idara ya Uhamiaji Zanzibar, Johari Masoud Sururu, amewapongeza watendaji wa Ofisi ya Uhamiaji Mkoa wa Kaskazini Unguja, kwa kusogeza huduma za Uhamiaji karibu na Jamii inayowazunguka. Alitoa pongezi hizo leo alipotembelea Vituo Maalum “Detached Points” vilivyopo ndani ya maeneo ya Kendwa na Nungwi, Shehia za Nungwi - Banda Kuu, Mnarani na Kiungani, Wilaya ya Kaskazini “A” na Fukwe za Kiwengwa, Pongwe na Pwani mchangani, Shehia za Kiwengwa, Moga na Pongwe kwa Wilaya ya Kaskazini “B” alipofanya ziara ya kikazi katika Wilayani hizo tarehe 05 – 06 Disemba, 2017.Mkoa...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 6 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News