Kamishna Sururu, Akamilisha Ziara Yake Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa Mafanikio

 Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Masoud Sururu (kulia), akipokea Salamu ya Heshima kutoka kwa Afisa Uhamiaji Mkoa wa Kaskazini Unguja, Mrakibu Mwandamizi wa Uhamiaji Muhsin A. Muhsin akimkaribisha rasmi Kamishna, kutembelea Kituo cha Uhamiaji kilichopo Bandari ya Mkokotoni, Wilaya ya Kaskazini “A” jana tarehe 06 Disemba, 2017 wakati akiendelea na ziara ya kikazi Mkoani Humo.  Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Masoud Sururu (juu), akiwaasa watumishi wa Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Kaskazini Unguja, kuzingatia Maadili ya kazi, Heshima na Uadilifu kuwa ndio nguzo kwa Utumishi uliotukuka. Pia alikemea vitendo vya Rushwa...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Thursday, 7 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News