KAMATA 5 USIZOZIJUA KUHUSU BAUNSA WA DIAMOND PLATNUMZ

NA CHRISTOPHER MSEKENA SUALA ya ulinzi halina mjadala kwa watu maarufu kwani humuweka msanii kwenye nafasi nzuri zaidi ya usalama anapokuwa kwenye shughuli zake za kikazi. Ndiyo maana nyota wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ amelitambua hilo na mara zote huwa anaambatana na baunsa wake, Mwarabu Fighter, ‘jitu’ la miraba minne lililojengeka misuli kwa ulinzi anapokuwa kwenye matukio yanayo mkutanisha na watu wengi. Swaggaz linakusogezea mambo makubwa matano ambayo huwenda ulikuwa hujajui kuhusiana na baunsa wa Diamond Platnumz (Mwarabu Figther) kama tulivyofanya mazungumzo naye  maeneo ya Mbezi Beach...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Saturday, 24 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News