Kamanda Mambosasa aeleza jambazi komando kutoka Burundi wa wenzie 2 walivyouawa na polisi

Leo December 5, 2017 Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa kwenye mkutano na waandishi wa habari ameeleza kuwa hivi karibuni Jeshi la Polisi limepambana na watu 3 ambao ni majambazi hadi kufa mmoja wao akiwa ni raia wa Burundi na wengine Watanzania. Ameeleza kuwa raia huyu wa Burundi ambaye ndiye aliyekuwa kiongozi […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Tuesday, 5 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News