Kaimu Waziri wa Afya Zanzibar Riziki Pembe Awataka Wananchi Zanzibar Wabadili Mfumo wa Maisha Kujiepusha na Maradhi ya Kisukari Zanzibar.

 Kaimu Waziri wa Afya ambae pia ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Riziki Pembe Juma akizungumza na waandishi wa habari  katika ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazimmoja kuhusu hali ya maradhi ya kisukari Zanzibar na njia za kujiepusha nayoMwakilishi wa Shirika la Afya ulimwenguni (WHO) Zanzibar Dkt. Ghirmay Andermichael akizungumzia hali ya ugonjwa wa kisukari duniani katika mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika Wizara ya Afya Mnazimmoja  (kushoto) Kaimu Waziri wa Afya Riziki Pembe Juma.Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Halima Mohd Salum akimkaribisha Kaimu Waziri...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News