KAGERE: HII NI RASHARASHA, MAMBO MAZURI YANAKUJA

TIMA SIKILO NA SALMA MPELI MSHAMBULIAJI mpya wa timu ya Simba, Meddie Kagere, ametamba kuwa uwezo waliouonyesha jana katika mchezo wao wa kirafiki dhidi ya Asante Kotoko ya Ghana ni kama mvua za rasharasha, mchezo mzima utaonekana katika Ligi. Simba juzi walitoa sare ya kufungana 1-1 dhidi ya Asante Kotoko, katika tamasha lao la Simba Day la kutambulisha wachezaji wa timu na viongozi wake. Akizungumza na BINGWA jana, mshambuliaji huyo alisema matokeo yalikuwa ni ya kawaida, kwani mchezo ulikuwa ni wa kirafiki na si wa kutumia nguvu kubwa kama ambavyo...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News