KAGERE ANASUBIRI KIPENGA KIPULIZWE TU!

NA TIMA SIKILO STRAIKA mpya wa Simba, Meddie Kagere, amesema kwa sasa anachosubiri ni kupulizwa kwa kipenga cha kuanza kwa Ligi Kuu Tanzania Bara, aanze kufanya yake ili kuwaonyesha viongozi wa timu hiyo hawakufanya makosa kumsajili. Kagere ambaye alisajiliwa na Simba kwa mkataba wa miaka miwili akitokea klabu ya Gor Mahia ya Kenya, ameliambia DIMBA Jumatano kuwa viongozi pamoja na mashabiki wanayo imani kubwa kwake hivyo atafanya kila linalowezekana ili asiwaangushe. “Nilisajiliwa Simba kwa sababu waliamini naweza kuisaidia timu, hivyo nitapambana kuhakikisha siwaangushi, mazoezi tuliyoyafanya nchini Uturuki ni mazuri na...

read more...

Share |

Published By: Dimba - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News