Kagame: Afrika iache kutegemea mifumo ya utawala ya Magharibi

Rais Paul Kagame wa Rwanda ameapishwa kuongoza taifa hilo kwa miaka mingine saba na akakemea mataifa ya magharibi yanayokosoa Afrika na kuilazimisha kufuata mitindo na mifumo ya utawala wa kimagharibi....

read more...

Share |

Published By: BBC Swahili - Friday, 18 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News