Kabwili baada ya kucheza kwa dakika 90 kwa mara ya kwanza Yanga

Baada ya game AyoTV iliongea na golikipa Ramadhani Kabwili wa Yanga ambaye ana umri chini ya miaka 20 na leo ameidakia Yanga kwa mara ya kwanza katika mechi ya mashindano kwa dakika 90. Baada ya golikipa Namba moja wa Yanga Rostand kuwa nje ya uwanja kwa majeruhi toka mchezo dhidi ya Lipuli. Kama utakuwa unakumbuka […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Tuesday, 6 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News