Jumuiya ya Istiqaama yakabidhi misahafu kwa skuli zilizomo jimbo la Chwaka

Fatma Makame - Maelezo  Zanzibar Jumuiya ya Istiqaama Zanzibar ikishirikiana na Radio Adhana imekabidhi Misahafu 1,200 kwa Wanafunzi wa Skuli nne za Jimbo la chwaka Wilaya ya kati mkoa wa Kusini Unguja ikiwemo SKuli ya Chwaka,Marumbi, Pongwe na Koani.Msaada wa Misahafu hiyo una lengo la kuwapatia Wanafunzi hao fursa ya kujifunza zaidi Dini ya kiislamu kupitia Misahafu hiyo.Akizungumza na wandishi wa habari mara baada ya kukabidhi Misahafu hiyo Mwenyekiti huduma kwa jamii Jumuiya ya istiqaka Zanzibar Said Hamed Haroub amesema  lengo la kuwapatia Misahafu hiyo ni kuisoma na kuwa mwongozo wa maisha yao...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 7 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News