Jumuiko la Mabadiliko ya Tabianchi Zanzibar (ZACCA) latoa msaada wa masanduku ya Nyuki kwa wakaazi wa Wambaa

 BAADHI ya Masanduku ya kufugia nyuki yaliyotolewa na Jumuiko la Mabadiliko ya Tabianchi Zanzibar (ZACCA), kwa wananchi wa Wambaa  na Mgelema, kwa lengo la kuhifadhi misitu ya mikandaa na kuzuwia uharibifu wa mazingira kwa ukataji wa miti.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA). MKURUGENZI wa Idara ya Misitu na Mali zisizorejesheka Zanzibar, Soud Juma Mohamed akizungumza na wananchi wa kwaazini Wambaa Wilaya ya Mkoani, wakati alipokuwa akikabidhi masanduku ya kufugia nyuki yaliyotolewa na Jumuiko la Mabadiliko ya Tabianchi.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA).MKURUGENZI wa Idara ya Misitu na Mali zisizorejesheka Zanzibar, Soud Juma Mohamed akikmabidhi sheha wa...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Thursday, 7 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News