JPM:SITETEI WAVAMIZI WA MAENEO

Na MWANDISHI WETU-DAR ES SALAAM RAIS Dk. John Magufuli, amesema Serikali haiwezi kurudia kuwalipa watu ambao tayari walishalipwa fidia na hawezi kuwatetea kwa kuvunja sheria kwa kuvamia maeneo yasiyo yao. Rais Dk. Magufuli, alitoa kauli hiyo jana alipozungumza na wananchi wa Mapinga wilayani Bagamoyo ambao walisimamisha msafara wake, wakati akienda kuzindua kituo cha Mafunzo Maalumu ya Kijeshi (Comprehensive Training Center – CTC) kilichopo mkoani Pwani. “Serikali haiwezi kurudia kuwalipa watu ambao tayari walishalipwa fidia na hawezi kuwatetea watu ambao wamevunja sheria kwa kuvamia maeneo yasiyokuwa yao. “Serikali ina dhamira ya...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Tuesday, 6 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News