JPM, marais EAC wapongeza Uhuru

RAIS John Magufuli amewaongoza marais wengine wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), kumpongeza Rais mteule wa Kenya, Uhuru Kenyatta kwa kuibuka mshindi wa kiti hicho katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika Jumanne wiki hii, Rais Magufuli alituma salamu hizo za pongezi kupitia ukurasa wake wa Twitter, akisema; “Nakupongeza Ndugu Uhuru Kenyatta kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Kenya kwa kipindi kingine....

read more...

Share |

Published By: Habari Leo Kitaifa - Sunday, 13 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News