JPM ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA KENYATTA

Rais Dkt Magufuli  amemtumia salamu za rambirambi Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta kufuatia ajali kati ya basi la abiria na lori la mizigo, iliyopelekea vifo vya watu takribani 36 na wengine kujeruhiwa iliyotokea jana asubuhi....

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Sunday, 31 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News