JPM atoa maagizo 5 mazito mafuta ya kula

RAIS John Magufuli ametoa maagizo matano kwa watendaji wa wizara na idara za serikali, alipofanya ziara ya kushtukiza muda wa saa 6.30 mchana, kufuatilia sakata la mafuta ya kula kwenye Bandari ya Dar es Salaam jana, ikiwemo kuagiza mafuta hayo kutolewa bandarini haraka....

read more...

Share |

Published By: Habari Leo Kitaifa - Tuesday, 15 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News