JPM AMTUMIA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KENYATTA

Na MWANDISHI WETU-DAR ES SALAAM RAIS Dk. John Magufuli, amemtumia salamu za rambirambi Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kutokana na msiba uliopoteza watu 36 kwenye ajali ya barabara iliyotokea Nakuru Eldoret nchini humo. Katika salamu hizo alizozituma juzi usiku, Rais Magufuli, alisema amepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa kuhusu ajali hiyo iliyopoteza uhai wa wananchi hao wa Kenya. “Nimepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa za kutokea kwa ajali iliyosababisha ndugu zetu takribani 36 kupoteza maisha baada ya basi la abiria kugongana na lori katika barabara ya Nakuru –...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Monday, 1 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News