JPM AFANYA UTEUZI BODI SITA

Na MWANDISHI WETU -DAR ES SALAAM RAIS John Magufuli amefanya uteuzi wa wenyeviti wa bodi sita za taasisi za Serikali baada ya wenyeviti waliokuwapo kumaliza muda wao. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyomboa vya habari na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi, Rais Magufuli amemteua Monica Mbega kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mazao Mchanganyiko. Pia amemteua Profesa Egid Mubofu kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Mbolea Tanzania (TFC) na Profesa Abiud Kaswamila kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro. Profesa Esther Jason...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Thursday, 7 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News