JKU yatinga Nusu Fainali Cecafa baada ya kuifunga Singida United kukutana na SImba

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAMSAFARI ya Singida United katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame imefikia tamati katika hatua ya Robo Fainali baada ya kutolewa na JKU Zanzibar kwa penalti 4-3 kufuatia sare ya 0-0 usiku wa leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam.Kwa matokeo hayo, JKU itakutana na Simba SC katika Nusu Fainali Jumatano, siku ambayo Azam FC itamenyana na Gor Mahia, mechi zote zikipigwa Uwanja wa Taifa.Mapema katika Nusu Fainali ya kwanza, mabingwa watetezi, Azam FC waliichapa mabao 4-2 Rayon Sport...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Tuesday, 10 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News