Jeshi Zimbabwe lamkingia kifua makamu wa rais

Imeripotiwa kwamba Zimbabwe “iko ukingoni” baada ya Mkuu wa Jeshi Jenerali Constantino Chiwenga kuagiza “kusitishwa” ufukuzaji wanachama kutoka chama cha Zanu PF cha Rais Robert Mugabe kufuatia kufutwa kazi kwa Makamu wa Rais Emmerson Mnangagwa....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News