Jeshi la zimamoto Arusha lilivyomuunga mkono Raisi JPM

Leo February 7, 2018 Jeshi la Zimamoto mkoani Arusha limekabidhi vifaa vya kuzimia moto, sita kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo kwa niaba ya Rais John Magufuli kwaajili ya nyumba za polisi zilizojengwa Arusha. Akikabidhi vifaa hivyo Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Arusha Kamanda Kennedy Komba amesema Jeshi hilo […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Wednesday, 7 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News