JESHI LA ZIMAMOTO ARUSHA LAMUUNGA MKONO MAGUFULI

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo akipokea fire extinguisher toka kwa Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Arusha Kennedy Komba kwaajili ya nyumba za Polisi zilizojengwa mkoani humo. Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoani Arusha limemkabidhi vifaa vya kuzimia moto (fire extenguisher’s) sita mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kwa ajili ya nyumba za polisi zilizojengwa mkoani humo. Akikabidhi vifaa hivyo kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Arusha...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Wednesday, 7 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News