Jeshi la DRC limetangaza ushindi dhidi ya waasi wa Yakutumba

Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo-DRC limetangaza kuwa limepata ushindi dhidi ya kundi la waasi wa “Yakutumba Kivu Kusini” huko mashariki mwa Congo na kumjeruhi kamanda wa waasi. Jeshi pia limesema limefanikiwa kuchukua silaha za kutosha pamoja na kuwakamata wapiganaji 120.   Wakati huo huo kamanda wa operesheni Kivu Kusini, Yave Philemo amewataka waasi waliobaki wasalimishe silaha zao hasa wale waliopo eneo la Ruzuzu linalopakana na mpaka wa Burundi.   Mwandishi wa......

read more...

Share |

Published By: VOA News Swahili - Thursday, 8 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News