Jembe la Azam linavyoipalilia Yanga

Na Thomas Ng’itu Wakati wa dirisha kubwa la usajili lilipokuwa linaendelea mwezi uliopita, nilikuwa najiuliza kwa nini Yanga wang’ang’anie kuwa Gadiel Michael ni mchezaji wao, huku yeye mwenyewe akiikataa Azam ghafla na kutaka kuondoka, Azam nao wakisema kuwa bado ni mchezaji wao halali kutokana na kuwa na mkataba na timu hiyo. Mchezaji huyu hivi sasa amegeuka kuwa lulu, kati ya mabeki wanaocheza nafasi za pembeni kutokana na aina ya uchezaji wake. Amkimbia Kangwa Azam  Gadiel aliona tayari kuna ufinyu wa namba katika kikosi cha Azam kutokana na kuwa na...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - Tuesday, 12 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News