Je Saif al-Islam Gaddafi anaweza kuiongoza Libya?

Saif al-Islam Gaddafi anasemekana kuwachiliwa huru kutoka jela nchini Libya baada ya miaka sita. Basi ni nini kitakachofuata kwa mtoto huyu wa Kanali Muammar Gaddafi, ambaye wakati mmoja alionekana kuweza kuchukua usukani kutoka kwa baba yake kama kiongozi wa nchi hiyo ya Kaskazini mwa Afrika?...

read more...

Share |

Published By: BBC Swahili - Wednesday, 6 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News