JAY-Z AKUTANA NA LUKAKU

  NEW JERSEY, MAREKANI RAPA Jay Z, mapema wiki hii alikutana na staa wa soka anayekipiga katika klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya Ubelgiji, Romelu Lukaku, mara baada ya kumalizika kwa shoo yake ya ‘On the Run II Tour.’ Lukaku alitumia ukurasa wake wa Instagram na kuposti picha mbili, moja akiwa na Jay Z na nyingine akiwa na mwanachama wa Roc Nation, DJ Khaled, kisha mchezaji huyo kuandika kuwa ndoto zake zimekamilika kukutana na mastaa hao wa muziki duniani. Hata hivyo, Jay Z naye aliandika kwenye ukurasa...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News