JAPANI YATOA SULUHISHO LA FOLENI DAR

Mwandishi wetu SHIRIKA la Maendeleo la Japan (Jica), limetoa suluhisho la msongamano wa magari jijini Dar es Saalaam kwa kupendekeza kujenga barabara nyingine tatu za juu (fly over), mtandao wa reli na miji ya pembezoni. Mapendekezo hayo ya Jica ni matokeo ya utafiti uliofanywa na shirika hilo kwa kushirikiana na Wazira ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi). Ripoti ya utafiti huo imeonyesha kuwa ifikapo mwaka 2040, idadi ya watu katika Jiji la Dar es Salaam itafikia milioni 12 kutoka milioni sita ya sasa. Akizungumza jana jijini Dar...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Tuesday, 6 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News