JAMHURI YAWATILIA SHAKA MAWAKILI WA AKINA MBOWE

Na KULWA MZEE DAR ES SALAAM UPANDE wa Jamhuri umetilia shaka utayari wa mawakili wa utetezi katika kesi inayowakabili vigogo tisa wa Chadema akiwemo Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe wa kuhakikisha shauri hilo linasonga mbele kwa usikilizwaji. Hoja hiyo iliwasilishwa jana mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu  wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Wilbard Mashauri, wakati shauri hilo lilipokwama kuanza usikilizwaji wa awali. Kesi hiyo ilitakiwa kuanza usikilizwaji wa awali lakini haikuwezekana kwa sababu Wakili Peter Kibatala, alikuwa Mahakama Kuu na Wakili Jeremiah Mtabesya alikuwa Mahakama ya Mtwara. Wakili...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 7 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News