Jambo la kwanza atakaloanzanalo Rais mpya wa TFF Wallace Karia

Rais mpya wa TFF Wallace Karia amesema, ataanza kwa kufanya marekebisho ya watendaji wa TFF kuanzia muundo lakini pia ameahidi kurebisha mapungufu ya utendaji yaliyopo kwa kushirikiana na kamati ya utendaji. “Nitaanza na marekebisho kwenye secretariat kuanzia muundo, lakini kesho tutakutana na kamati ya utendaji tutaanza kuweka vipaumbele kwa pamoja kwa sababu mimi nina mawazo yangu lakini tutashirikiana kuona tuanze na lipi katika utekelezaji.” “Kuna mapungufu kwenye masuala ya utendaji ambayo lazima tuyarekebishe ili tuweze kupata watu ambao wana sifa na wanao stahili kwenye ofisi yetu ya TFF.” Alipoulizwa kuhusu...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - Saturday, 12 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News