Jacob Zuma Apewa Masaa 48 Kung’atuka Madarakani

Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amepewa saa 48 kujiuzulu, wadhfa wake huo. Kwa mujibu shirika la Utangazaji la Afrika Kusini -SABC- na vyanzo vingine vya habari, hatua hii inakuja baada ya mlolongo wa mazungumzo yaliyofanywa na chama tawala cha nchini humo ANC. Duru zinasema ANC kilifanya mazungumzo marefu baadaye kuwatuma watu wawili nyumbani kwa Rais Zuma jijini Pretoria kwenda kumfikishia ujumbe wa chama ana kwa ana ya kwamba Zuma ajiuzulu mwenyewe au chama kimng’oe madarakani. Lakini haijulikani bado kwamba Rais Zuma alipokeaje ujumbe huo. Hatua hii ya ANC...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Monday, 12 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News