Izzo Bizness amefunguka uhusiano wake na Abella umechangia kushuka Kimuziki?

Msanii Izzo Bizness amesema kuwa kuanza kufanya kazi na Abella haijachangia yeye kutokufanya vizuri kwenye game ya Bongofleva hata hivyo afanyi vizuri kama zamani kutokana na nyakati zinabadilika tu, lakini pia amezungumzia wimbo wake mpya alioufanya mwenyewe bila kumshirikisha Abella. Izzo amesema kuwa amefanya single project siyo kwa kuwa amegombana naye bali ni kazi binafsi […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - 7 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News