Ilivyokuwa Mahakamani katika kesi Lema na watuhumiwa 61 wa ugaidi

Kutoka jijini Arusha kwenye habari zilizojiri Mahakamani leo February 13, 2018 ni pamoja na kesi ya watuhumiwa 61 wa ugaidi jijini humo ambayo imeshindwa kuendelea kutokana na upelelezi wa kesi hiyo kuwa haujakamilika. Hakimu aliyekuwa akisikiliza kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha Christina Kisinda ameahirisha kesi hiyo hadi February 27 mwaka huu ambapo […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News