Ijue michuano ya mataifa ya Africa (AFCON)

AFCON ni kifupi cha Africa Cup of Nation haya ni mashindano yahusuyo mataifa ya Africa ambayo ni mwanachama wa CAF,AFCON ilianza rasmi mnamo mwaka 1957 na kuanzia mwaka 1968 mashindank haya yalianza kufanyika kila baada ya miaka miwili. Mwaka 1957 mashindano haya yalihusisha timu tatu tu ambazo ilikuwa ni Egypt,Sudan na Ethiopia kuanzia hapo mataifa yaliongezeka kwani kufikia mwaka 1998 kulikuwa na mataifa 16 katika mashindano yaliyofanyika nchini Burkina Fasso huku Nigeria wakijitoa katika mashindano hayo na idadi ya timu kubaki 15.Lakini kuanzia hapo hadi sasa AFCON imekuwa ikihusisha...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - Friday, 6 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News