Ijue historia fupi na tamu juu ya wapinzani wa yanga kunako kombe la shirikisho wanatokea ETHIOPIA

YANGA SC VS WELAYTA DICHA FC KUMBUKUMBU  Welayta dicha ndio mpinzani wa yanga ambae watakutana nae katika raundi ya kwanza kunako kombe la shirikisho tarehe 7 April 2018Naam! Naam twende kwenye mada ni fupi na ni nzuriMwaka 1998, Yanga ilitinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kuwatoa Coffee United ya Ethiopia.Coffee United walifika hatua hiyo baada ya kuwatoa Al Ahly ya Misri.Mwaka huu, Yanga wamepangwa na Welayta Dicha F.C. ya Ethiopia ambayo imetoka kuitoa Zamalek ambao ni wapinzani wakuu wa Al Ahly.NOTE: Welayta Dicha FC inashika nafasi...

read more...

Share |

Published By: Sporti Starehe - Wednesday, 21 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News