IGP SIRRO: Wahalifu wa Kibiti baadhi yao wamekimbilia Msumbiji

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro leo January 15 2018 amekutana na Mkuu wa jeshi la Msumbiji kwa ajili ya kutiliana sahihi ya makubaliano ili kuweza kubaini, kuzuia, kupambana na wahalifu wanaofanya uhalifu hapa Tanzania na Msumbiji  hasa kwenye masuala ya ugaidi na dawa za kulevya. Akizungumza na waandishi wa habari IGP […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Monday, 15 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News