Idris Sultan ashindwa kuvumilia, aweka post 3 baada ya Hukumu ya Lulu

Tumeona kila mmoja akiandika kwa namna yake baada ya Mwigizaji Lulu kuhukumiwa miaka miwili jela November 13 2017 ambapo Idris Sultan ni mmoja wa waliojitokeza na kuonyesha hisia zao baada ya hukumu hiyo… bonyeza play hapa chini kuona post zote 3 . ....

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - 7 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News