Idadi ya Vifo Ajali ya Wanafunzi UDSM Yaongezeka ...... Majeruhi Aliyekuwa Akipatiwa Matibabu MOI Afariki

Majeruhi mmoja kati ya wawili wa ajali iliyotokea eneo la River Side jijini Dar es Salaam ikihusisha gari la wagonjwa la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam amefariki dunia leo Juni 12, 2018.Majeruhi huyo alikuwa akipatiwa matibabu katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu Muhimbili (Moi) baada ya ajali iliyotokea usiku wa jana Juni 11, 2018.Ofisa uhusiano wa Moi, Patrick Mvungi amesema waliwapokea majeruhi hao saa 9:30 usiku wakitokea Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), amewataja majeruhi hao kuwa ni Abishai Nkiku (24), mwanafunzi wa UDSM na Jonathan...

read more...

Share |

Published By: Sporti Starehe - Tuesday, 12 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News