Idadi ya dawa za kulevya zilizokamatwa Tanzania ndani ya siku 60

Kamishna mkuu wa kuzuia na kupambana na dawa za kulevya nchini Rogers Sianga akiwa mkoani Dodoma leo February 8, 2018 amesema ndani ya miezi miwili wamekamata zaidi ya kilo zaidi ya 1500  za dawa za kulevya zilizokuwa zikiingizwa nchini ambapo pia hadi sasa wameshajua baadhi ya maeneo walipojificha wafanyabiashara wa dawa hizo ikiwemo nje ya […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Thursday, 8 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News