Hukumu ya Sugu Februari 26

Mahakama ya Hakimu Mkazi-Mbeya imewaachia kwa dhamana washtakiwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga katika kesi inayowakabili ya kutumia lugha ya fedheha dhidi ya Rais John Magufuli....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Friday, 9 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News