Hukumu ya Sheikh Ponda kizungumkuti

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeshindwa kutoa hukumu ya rufaa ya Serikali dhidi ya Sheikh Issa Ponda kwa mara nyingine, anaandika Faki Sosi. Katika rufaa hiyo Serikali inapinga hukumu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro iliyomuachia huru Sheikh Ponda katika tuhuma ya uchochezi. Hukumu hiyo iliyotarajiwa kutolewa jana na Jaji Mkasi Mongwa ambaye ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Thursday, 16 November

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News