Hukumu kesi ya Haonga kusomwa leo, viongozi Chadema wamiminika mahakamani

Katibu Mkuu Chadema Dk Vicent Mashinji, mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa na katibu wake, Emmanuel Masonga wamewasili katika mahakama ya wilaya ya Mbozi, Songwe kusikiliza hukumu ya Mbunge wa Mbozi, Pascal Haonga....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News