Hukumu bosi TPA sasa mwezi ujao

HUKUMU ya kesi ya matumizi mabaya ya madaraka inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Bandari Tanzania(TPA), Ephraim Mgawe na naibu wake aliyekuwa anashughulikia huduma, Hamad Koshuma, kwa mara nyingine imeahirishwa hadi Februari 10 mwaka huu....

read more...

Share |

Published By: Habari Leo Kitaifa - Friday, 6 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News