Huddersfield town waitoa Arsenal kileleni EPL, mabingwa watetezi wakidhalilika

Michezo 7 mingine ya Epl imepigwa hii leo ambapo mchezo wa kwanza ulikuwa kati ya Liverpool dhidi ya Watford ambapo mchezo uliisha kwa sare ya bao 3 kwa 3. Walianza Watford dakika ya 8 kupitia kwa Okaka Chuka kabla ya Mane kuisawazishia Liverpool,Dakika ya 32 Doucoure aliiandikia Watford bao la pili ambapo Firminho alisawazisha dakika ya 55. Baadae Mohamed Salah aliifungia Liva bao dakika ya 57 na kuwaoa Liva matumaini ya kubeba alama 3 lakini ilipofika dakika ya 90 matokeo yalibadilika baada ya Miguel Bristos kuisawazishia Watford. Chelsea wakiwa darajani...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - Saturday, 12 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News