Hospitali Haydom yaomba kupandishwa hadhi

HOSPITALI ya Rufaa ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT) Haydom iliyoko wilayani Mbulu, Mkoani Manyara imeiomba serikali kuipandisha hadhi ili kuwa hospitali ya kanda kwani inahudumia wagonjwa wengi kwa zaidi ya mikoa mitano hapa nchini....

read more...

Share |

Published By: Habari Leo Kitaifa - Friday, 6 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News