HOJA YA NAPE YAMLIZA WAZIRI KAMA MTOTO

Na MAREGESI PAUL-DODOMA HOJA ya Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (CCM), aliyoitoa Mei 16, wakati Bunge likijadili Bajeti ya Wizara ya Kilimo, imemfanya Waziri wa wizara hiyo, Dk. Charles Tizeba, kulia kama mtoto wakati akijitetea mbele ya Kamati ya Bunge ya Bajeti. Katika hoja yake, Nape alishika shilingi ya mshahara wa waziri wakati Bunge lilipoketi kama kamati kupitisha bajeti hiyo, akihoji sababu za Serikali kutorudisha kwa wakulima fedha za kodi inayotozwa kwenye korosho wakati wa kusafirisha nje zao hilo (export levy), kama ambavyo sheria inataka. Nape alisema kutokana na kutorudishwa...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Friday, 25 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News