HIVI NDIVYO RAIS MSTAAFU, JAKAYA KIKWETE ALIVYOUPOKEA MWAKA MPYA 2018 MSOGA

 Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa pamoja na Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgallu, sambamba na wananchi wa mji wa Msoga Mkoani Pwani kusherehekea kuukaribisha mwaka mpya wa 2018 katika hafla iliyoandaliwa na Dkt. Kikwete kijijini kwake Msoga, usiku huu. Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia fataki angani wakati wa sherehe ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2018, iliyofanyika usiku huu kijijini kwake Msoga, Mkoani Pwani. Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete (aliyemshika mtoto) alikuwa ni mmoja wa wakazi wa mji wa...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Sunday, 31 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News