Hii Hapa Ratiba ya Kombe la FA, Liverpool Uso kwa Uso na Evertoon

Ratiba ya raundi ya tatu ya michuano ya kombe la Fa, imetangazwa na michezo hiyo itachezwa wikiendi ya januari 6 na 7 mwaka 2018 Liverpool wataanza michuano hiyo kwa kuchuana na wapinzani wao wa jadi Everton, huku bingwa mtetezi Arsenal akianzia ugenini kwa kucheza na Nottingham Forest. Manchester City wataanzia nyumbani katika uwanja wao wa Etihad, kwa kucheza na Burnley nao Manchester United wakiwalika Derby County. Chelsea wataanzia ugenini kwa kucheza na Norwich, Tottenham Hotspur watakua wenyeji wa AFC Wimbledon Ratiba ya michezo mingine ya raundi ya tatu ya...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Monday, 4 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News