HESLB kuanza kuwasaka wadaiwa sugu 119,497 jumatatu ijayo * Wanadaiwa Tshs 285 bilioni * Ukaguzi kwa waajiri pia kufanyika

 Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Abdul-Razaq Badru akiongea na wanahabari leo (Jumatano, Jan. 3, 2018) jijini Dar es Salaam ambapo alielezea utekelezaji wa majukumu ya taasisi yake katika nusu ya mwaka 2017/2018 na kuanza kwa kampeni ya kuwasaka wanufaika sugu wa mikopo 119,497 ambao hawajaanza kurejesha. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Upangaji Mikopo Dkt. Veronika Nyahende na kushoto ni PHIDELIS Joseph, Mkurugenzi Msaidizi wa Urejeshaji Mikopo (Picha na Happiness Kihwele- HESLB). Na Mwandishi WetuBodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) wiki...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 3 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News